Monday, November 14, 2011

..MAPAMBANO KUPINGA MAPAMBANO!!


"Tarehe 10 Nov 2011 Nilishushwa jukwaani na Askari polisi, maeneo ya Parking wilayani Nzega mkoani Tabora, walinishikilia kwa saa nzima na kunikabidhi kwa maafisa wa TAKUKURU-PCCB wilaya. waliniachia baada ya masaa manne, kwa vitisho vya kufuta usajili wa bendi yetu, kunipiga marufuku kuimba kuhusu Rushwa Tanzania na kunifutia kibali changu cha kufanya kazi za sanaa. Mungu ibariki Tanzania."- Vitali Maembe.

1 comment:

  1. pole sana kaka kwa kadhia hiyo. Ukweli hata kama ukipindishwa vpi, utabaki kuwa ukweli. Kitendo hiki ni kiashiria tosha kabisa kuwa CHANJO inafanya kazi. Maembe and The Spirits msikate tamaa. Songeni mbele, fungeni mikanda, wanaharakati wenzenu tupo pamoja nanyi.
    ALUTA KONTINUA!

    Kinampanda.

    ReplyDelete